NISHATI YA UPEPO – Wind Energy

NDPR INAZALISHA NISHATI SAFI

Kiwango cha ukuaji wa mwaka / CAGR kwa uwezo mpya zilizosakinishwa ilikuwa asilimia 24 kati ya 2000-2015. Megawatt 1 ya Pangaboi Linaloelekeza Upepo lina karibu kilo 200 za Nd/Pr Oksidi.

Nchi zinatafuta njia za kupata suluhisho ili kutumi teknolojia ya kijani, ambayo ni rafiki wa mazingira kwa ajili ya usambazaji wa nishati. Renewables zinapata soko mwaka hadi mwaka, na sumaku za kudumu katika mapangaboi yanayozalisha umeme ziko mstari wa mbele katika mabadiliko haya.
Ikilinganishwa na gharama zisizofidiwa za nishati, Upepo na Jua zinatarajiwa kuwa vyanzo vya gharama nafuu vya nishati duniani. Ingawa pekee haziwezi kukidhi mzigo wote wa mtandao wa nishati, Suluhisho la Nishati ya Upepo na Jua itandelea kuchangia kwa kiasi kikubwa katika mchanganyiko wa jumla wa nishati. China ilitangaza mnomo Desemba ya 2016 kwamba inapanga kuwekeza dola za marekani bilioni 360 katika renewables ifikapo mwaka 2034 na imesimamisha ujenzi au mipango ya zaidi ya mitambo 100 wa makaa ya mawe.

20/08/2019
news-source-logo

"Wind industry prepares for “bottlenecks and price hikes” in rare earth metals"

Technological innovation is key to the wind industry reducing reliance on rare earth materials from

CONTINUE
16/01/2019
news-source-logo

"Clean Energy Investment Exceeded $300 Billion Once Again in 2018"

Solar commitments declined 24% in dollar terms even though there was record new photovoltaic capacit

CONTINUE
19/06/2018
news-source-logo

"Batteries boom enables world to get half of electricity from wind and solar by 2050 | Bloomberg NEF"

Coal to shrink to just 11% of global electricity generation by mid-century, from 38% now, as compara

CONTINUE
26/09/2017
news-source-logo

"Wind power is now cheaper than nuclear – the energy revolution is happening"

Far-sighted government policy means the cost of offshore wind energy has halved. The benefits in ter

CONTINUE
08/08/2017
news-source-logo

"Europe’s growth rate in offshore wind must triple to get Paris goals into reach"

To support the Paris Agreement’s goal of limiting temperature increase to 1.5°C, Europe will need

CONTINUE
05/01/2017
news-source-logo

"China to plow $361 billion into renewable fuel by 2020"

BEIJING (Reuters) - China will plow 2.5 trillion yuan ($361 billion) into renewable power generation

CONTINUE
31/07/2017
news-source-logo

"Report: JRC Wind Energy Status Report – 2016 Edition"

Excellent Report with great Insights on the direct drive permanent magnet wind turbine market A

CONTINUE
09/03/2017
news-source-logo

"Wind Power Blows Through Nuclear, Coal as Costs Drop at Sea"

 Falling costs make offshore turbines increasingly attractive  Germany may see record low price

CONTINUE
返回市场
Kurudi Sakoni
Back to The Market
マーケットに戻る