Peak inaendeleza kuwa ya muda mrefu na endelevu kimazingira na kijamii, muuzaji ambaye ni chaguo la kimataifa kwa soko la teknolojia ya juu ya soko la rare earth duniani. Lengo la Peak ni kuwapatia watumiaji wa mwisho fursa ya chanzo maadili, mazingira ya kirafiki na endelevu, uchimabi unaozingatia viwango, bidhaa za rare earth zilizosafishwa na kuchakatwa.

Tunatoa uwazi wa kweli na mnyororo wa ugavi uliowazi kuwezesha teknolojia yenye Carbon ndogo kwa namna ya uwajibikaji kabisa

Maadili ya kampuni na viwango katika suala hili, pamoja na yale ya washirika wawekezaji, yanaoana na hitaji la sekta ya kisasa ya kimataifa ya kuwa chanzo kinachowajibika katika hatua zote za minyororo yao ya usambazaji wa bidhaa. Kampuni inakusudia kutumia njia rafiki na endelevu kwa kwa mazingira katika uzalishaji wa sehemu ya msingi ya mkakati wake wa biashara na hatua ya tofauti kwa ajili ya bidhaa zake ikilinganishwa na baadhi ya vyanzo vingine vya rare earth.

Kampuni hudumisha viwango vya juu vya mazingira, afya, usalama na tabia za kijamii na inalenga kuhakikisha kwamba maendeleo ya Ngualla yanawafaidisha  wadau wote ikiwa ni pamoja na jamii ambamo kazi inafanyika

SHUGHULI ZETU ZA KIJAMII

Tanzania/kijiji cha Ngwala

Peak imefadhili, kusaidia na kuchangia miradi mingi ya jamii kaatika eneo ambalo lipo karibu na Mgodi. Miradi hii inaibuliwa na Halmashauri ya kijiji kulingana na mahitaji na vipaumbele vya eneo lao. Miradi hii kisha huwasilishwa kw kampuni ya Peak katika mkutano wa kijiji na huendelezwa kwa majadiliano zaidi na ushauri mabayo huusisha ngazi pana zaidi katika utawala wa eneo kuhakikisha kwamba inaendana na programu nyingine ambazo zimekwishwa na serikali katika ngazi ya Wilaya.