USAFISHAJI WA RARE EARTH

Bonde la Tees lina sifa za kipekee zinazofanya eneo hili likidhi sifa za kukubalika na kwamba liko tayari kwa kuwa lina miundombinu iliyo na ubora wa hali ya juu kwa ajili ya kuweka kiwanda cha kuchakata zaidi RE.

Bonde la Tees lina sifa za kipekee zinazofanya eneo hili likidhi sifa za kukubalika na kwamba liko tayari kwa kuwa lina miundombinu iliyo na ubora wa hali ya juu kwa ajili ya kuweka kiwanda cha kuchakata zaidi RE.

Kwa ajili ya kuitafutia Paek nafasi nzuri zaidi ya kisoko, uamuzi wa kimkakati ulifanywa kuanzisha kiwanda cha kusafisha zaidi Rare Earht katika eneo ambalo linafikika kwa usafiri wa kimataifa wa meli, upatikanaji wa uhakika na kwa gharama nafuu wa kemikali (hasa hydrochloric asidi na Kaustik soda), wafanya kazi weledi, uwepo wa umeme, maji na mazingira endelevu ya kutupa taka zitakazozalishwa

Eneo la kimataifa la Wilton (Wilton iliyopo) Tees Valley ni bandari ya tatu kwa wingi wa mizigo ambapo hupokea tani milioni 40 kwa mwaka, kaib na mji wa Middlesbrough uingereza kuna eneo la viwanda lenye miundo mbinu iliyo tayari na linafikika vizuri kwa nishati ya umeme wa gharama nafuu na huduma nyingine.

Wilton pia ipo umbali wa kilomita 3 kutoka bandari ya Tees, ambayo ni bandari yenye kina kirefu ambapo  RE itasafirishwa kupitia bandari hiyo na pia ni karibu na hudma zinazoweza kusimamia uchafu utakaozalishwa

Utaalamu wa ndani wa Peak Resources umeiwezesha kampuni  kuendeleza njia ya kemikali ya kiushindani ambayo imewezesha kupatikana njia ya gharama nafuu ya kuchimba elementi  za NdPr  zenye viwango vya juu vya ubora. Peak Resources ni mmoja wa wazalishaji wachache sokoni  nje ya China ambao wanapanga wa kuunganishwa kikamilifu wima!

Kampuni ya unalenga kuzalisha na kuuza bidhaa zifuatazo ya 4:

  • 2N neodymium + praseodymium Oksidi (99.9%) iliyosafishwa vizuri bidhaa ya wastani wa tani 2,810 kwa mwaka
  • iliyochanganywa nay a munganiko wa katikati wa rare earth wastani wa tani 625 kwa mwaka (sawa na tani 330 kwa mwaka zilizo na REO )
  • Mchanga wa RE ya Lantanum iliyotenganishwa wastani wa tani 7,995 kwa mwaka. (sawa na tani 4,230 kwa mwaka zilizo na REO )
  • Mchanga wa RE aina ya Seri wasatani wa tani 3,475 kwa mwaka (sawa na tani 1,920 kwa mwaka zilizo na REO )

Aidha, kampuni inaungwa mkono na serikali ya Uingereza kupitia Idara ya biashara ya kimataifa ambayo inajumuisha Mamlaka ya fedha za kigeni na ndani kutoka Tees Valey. Eneo la Wilton pia liko ndani ya eneo la kibiashara ambalo linatoa punguzo la Kodi kwa mitambo. Makampuni yaliowekeza katika katika eneo la Tees Valey yanaweza kuomba kupatiwa punguzo la kodi la 100% kwa uchakavu wa mitambo ilyoidhinishwa na mashine ambazo inakadiriwa kugharimu Euro milioni 125. Kodi itozwayo kwa faida iliyopatikana kwa sasa ni 20% na inategemewa kupungua hadi kufikia 18% mnamo 1 April 2020.

Mpango wa matumizi ya kimtaji kwa uwekezaji wa kiwanda cha kusafisha kwa mujibu wa matokeo ya upembuzi yakinifu inakadiriwa kuwa dola za kimarekani milioni 152 ikihusisha 15% ya dharura na 5% ya gharama za wenye kampun,i na tunatarajia gharama za uendeshaji kwa mwaka kufikia dola milioni 37.

Kwa maelezo zaidi kuhusu eneo ambalo kiwanda cha usafishaji kitajegwa Tafadhali tembelea http://www.wiltoninternational.com

More Locations

更多地点

More Locations

Australia

MAKAO MAKUU

Peak Resources imeorodheshwa katika soko la hisa la Australia (ASX: PEK) na ipo jijini Perth, Magharibi mwa Australia.

Find out More 更多信息 Find out More

Tanzania

MALI – RASILIMALI YA RARE EARTH NGUALLA

Ngualla ni moja ya a miradi yenye RE nyingi ya aina ya neyodimium (Nd) na Praisodimium (Pr) ya daraja la…

Find out More 更多信息 Find out More