MUHTASARI

Ni muhimu kwa Peak kama asasi kwamba tuoneshe uadilifu na uwajibikaji katika yote tuyatendayo - iwe ni katika uhusiano wetu na washirika, wateja, wanahisa na wafanyakazi katika jitihada za kuelekea mazingira yaliyo safi na endelevu zaidi, au kusaidia kujenga maisha bora ya baadaye katika jamii ambamo tunafanya kazi. = Kutokana mawazo haya, Tumefasili thamani na malengo yetu hapo chini

Kutokana na mtazamo huo, tumeelezea tunu na malengo

MAONO YETU

“Kutoa ufumbuzi jumuishi, endelevu na wa kimaadili, bidhaa za ubora wa hali ya juu kwa watumiaji wa  teknolojia ya juu ya juu ya Rare Earth duniani”

DHIMA YETU YETU MISSION

  • Kuwa chaguo la kwanza kwa wateja watumiaji wa Rare Earth kwa kusambaza ufumbuzi wa thamani na kuaminika
  • Kuwa muuzaji wa kwanza anayesambaza rare earth kwa faida nje ya China
  • Kufikia ubora wa uendeshaji na fedha ambao huleta ubora katika kundi lake, thamani bora kwa wanahisa huku ikizingatia na kuheshimu mahitaji ya mazingira, kutoa suluhisho endelevu la kweli la kijani kwa tasnia ya Rare earth duniani
  • Kuwa asasi endelevu inayoendeshwa kulingana na viwango vya juu vya wajibu wa kijamii afya na usalama, kwa jamii ambamo tunafanya kazi, kwa wafanyakazi wetu na familia zao.
  • Kuwa mahali salama na panapowavutia watu kufanya kazi mahali ambapo tunalea maendeleo binafsi na kuunda mazingira ya kazi ya uwezeshaji na kuhusika kwa kutenda uadilifu na uaminifu katika ufanyaji kazi wa  ndani na nje ya kampuni.

 

SHUGHULI ZETU ZA KIJAMII

Tanzania/kijiji cha Ngwala

Peak imefadhili, kusaidia na kuchangia miradi mingi ya jamii kaatika eneo ambalo lipo karibu na Mgodi. Miradi hii inaibuliwa na Halmashauri ya kijiji kulingana na mahitaji na vipaumbele vya eneo lao. Miradi hii kisha huwasilishwa kw kampuni ya Peak katika mkutano wa kijiji na huendelezwa kwa majadiliano zaidi na ushauri mabayo huusisha ngazi pana zaidi katika utawala wa eneo kuhakikisha kwamba inaendana na programu nyingine ambazo zimekwishwa na serikali katika ngazi ya Wilaya.