MALI – RASILIMALI YA RARE EARTH NGUALLA

Ngualla ni moja ya a miradi yenye RE nyingi ya aina ya neyodimium (Nd) na Praisodimium (Pr) ya daraja la juu kabisa duniani ambayo haijandelezwa mpaka sasa.

Mradi wa Ngualla RE uko katika eneo la Kabonataiti kusini mwa Tanzania, kilometa 147 kutoa katika jiji la Mbeya  katika kingo za bonde la ufa la Afrika Mashariki. Neno Ngualla limetokana na neno la Kiswahili lenye maana ya kipara, ambalo linaakisi muonekano wa kilima- ambapo kimsingi ni eneo tupu lisilo na makazi, kilimo, malisho au hata hifadhi

Ukanda wa Bastnaesite uliochakazwa ambao umekusudiwa kwa ajili ya maendeleo hutokea kama blanketi nene lenye madini ya RE ya daraja la juu kutoka eneo la juu la kilima Ngualla

RE zimehifadhiwa ndani ya bastanasite ndani ya mawe yaliyochakaa ambayo yana kiwango kidogo sana cha phospahate, carbonate, uranium na thorium ikilinganishwa na RE zilizoko katika maeneo mengine. Hali hii inafanya iwe rahisi kuchimba kwa njia ya mashimo ya wazi na kufuatiwa na uchenguaji ambao utayapandisha madini daraja mpaka kufikia daraja la juu kupitia hata mbalimbali za uchenjuaji katika mtambo wa kuchenjua ambao utawekwa katika eneo la mgodi.

Makadrio ya jumla ya rasilimali zote za madini kwa mradi wa Ngualla ni zaidi ya 1% REO kunzia tani milioni 214.4 kwa 2.15% REO, kwa tani 4,620,000 zilizo na REO. Ndai ya rasilimali hizi za madini kuna eneo lenye rasilimali ya madini la bastnasite iliyochakazwa, eneo lililoainishwa na kupimwa ambalo linaunda msingi wa makisio ya akiba ya madini.

Kwa REO 1% daraja la chini la kuanzia la makisio ya rasilimali ya madini kwa eneo la Bastnaesite iliyochakazwa ni tani 21.3 milioni kwa kiwango cha 4.75% ya REO, kwa tani 1,010,000 zilizo na REO.Taarifa zaidi za makisio ya rasilimali ya madini zimejumuishwa katika tangazo la soko la hisa la Australia. “Rasilimali za daraja la juu Ngualla karibu tani milioni moja za REO” tangu tarehe 22 Februari 2016.

Makisio ya akiba ya madini kwa ajili ya mradi wa Ngualla ni tani milioni 18.5 kwa kiwango cha 4.80%REO kwa tani 887,000 zilizo na REO. Tangazo la soko la hisa la Australia ” Mradi wa Ngualla Rare Earth rejea ya kiwago cha madini tangu tarehe 12 April 2017” inatoa taarifa zaidi ya makisio.  Akiba ya madini inawakilisha asilimia 22 tu ya jumla yote rasilimali madin lakini inatosha kukidhi umri wa miaka 30 ya uchimbaji.

Kampuni inapanga kusafirisha nje ya nchi takribani tani 28,000 kwa mwaka za makinikia ya Rare Earth iliyo na kiwango cha 45% ya REO kutoka Tanzania na kupelekwa Uingereza.

Ngualla pia inahifadhi niobium, tantalum, phosphate, fluorspar na barite za daraja la juu ziliyosambaa katika eneo pana. Bidhaa hizi za ziada aiko katika hatua za awali za tathmini na zinaonyesha uwezekano wa juu wa fursa kwa ajili ya bidhaa za ziada kutoka katika mradi.

Tanzania ipo imara kisiasa na ina utamaduni madhubuti katika madini, ikiwa ni mzalishaji namba nne kati ya wazalishaji wakubwa wa dhahabu Afrika.  Inayo miundo mbinu ya usafirishaji ya gharama nafuuu na Ubora wa juu wa bidhaa vitawezesha usafiri wa gharama nafuu kutoka Ngualla mpaka bandari ya Dar es Salaam.

Kuhusu mabadiliko sheria ya Julai 2017 Tungependa kurejelea vifungu 3 vifuatavyo vya nyaraka za sheria:

  • No. 5 Utajiri wa asili na rasilimali (Mamlaka kudumu) Sheria ya Mwaka 2017
  • No. 6 Mapitio na majadiliano mapya vipengele visivyokubalika Sheria ya mwaka 2017
  • No. 7 Sheria iliyoandikwa kuandikwa sheria (Marekebisho mbalimbali) na sheria ya 2017

Kwa taarifa zaidi kuhusiana na mada husika tungependa kurejea katika tovuti rasmi ya serikali ya Tanzania.

Jumla mipango mji mkuu matumizi katika Tanzania kama ilivyoelezewa na BFS kina kujifunza + sasishi ya mradi inakadiriwa katika US $186 milioni ikiwa ni pamoja na 15% contingency na pamoja na gharama za wamiliki wa 5% na wanatarajia na matumizi ya uendeshaji wa kila mwaka ya US $46 milioni.

More Locations

更多地点

More Locations

Australia

MAKAO MAKUU

Peak Resources imeorodheshwa katika soko la hisa la Australia (ASX: PEK) na ipo jijini Perth, Magharibi mwa Australia.

Find out More 更多信息 Find out More

Uingereza

USAFISHAJI WA RARE EARTH

Bonde la Tees lina sifa za kipekee zinazofanya eneo hili likidhi sifa za kukubalika na kwamba liko tayari kwa kuwa…

Find out More 更多信息 Find out More