MAPENDEKEZO YA UWEKEZAJI
KIENDESHI UCHUMI
Peak Resources Limited (Peak) imejipanga vyema kuwa kuwa mshindani na kudumu katika uzalisha wa muda mrefu. Mradi wa Ngualla unakidhi vigeazo vyote vya kuwa mradi utakaodumu kwa miaka 26
Peak Resources inakusudia kuwa mmoja wa wazalishaji wa gharama nafuu katika tasnia na mnamo mwezi Aprili, mwaka 2017 imewasilisha, Upembuzi Yakinifu wa gharama za mradi.
Sifa za kimuonekano wa ubora wa orebody ya Ngualla, pamoja na faida za kipekee za Tees Valley, mahali ambapo usafishaji utafanyika, zinafanya Peak kuwa mzalishaji anayetumia gharama ndogo kabisa za uendeshaji na za kimtaji ukilinganisha na mwendelezaji mwingine yeyote wa miradi ya Rare Earth duniani.
Find out More 更多信息 KUJUA ZAIDI 詳しくはこちら