Mapendekezo ya uwekezaji – The Investment Proposition

UTENDAJI KAZI WA PEAK KATIKA VIPENGELE VYOTE

Ubora wa hali ya juu wa Mradi wa RE Ngualla unaonekana wazi unapolinganisha na miradi mingine inayofanana nayo kwa msingi KPI.I. Michoro ifuatayo hapo chini inaonyesha KPI 4 inayowakilisha KPI ambazo tunaamini zinahitajika kwa ajili ya matumizi kama hayo. Peak inathibitisha nafasi yake ya ubora miongoni mwa wenzake kwa kufikia nafasi ya juu kwa jumla. Nafasi hii ya kipekee pia inaakisiwa katika matokeo ya BFS ambayo yalichapishwa mnamo Aprili 20, 2017 na maboresho ya taarifa za mradi ambayo ilichapishwa Oktoba 12, 2017 yanaonekana katika mtokeo yafuatayo:

  • Wastani wa mtiririko wa fedha baada ya kukatwa kodi ni dola za marekani milioni US$ 108
  • NPV8 – Kabla ya kodi na Mrahaba dola za marekani milioni US$ 914
  • NPV8 – Baaada ya kodi na Mrahaba doala za marekani milioni US$ 612 
  • NPV10 – Baaada ya kodi na Mrahaba doala za marekani milioni US$ 444 
  • IRR- baada ya kodi na mrahaba 22%

Kwa bei ya sasa ya NdPr katika masoko ya China ambayo ni 375 RMB/US$ 56.87 (hii ni bei ya tarehe 2/11/2017) Peak inaweza kupata Dola za marekani milioni US$ 69.21 kutokana na makisio ya kuchimba tani 2810 kwa mwaka.

Peak Resources inaongoza kwa kuendesha mradi wa NdPr Oxide ambao una gharama ndogo zaidi za uendeshaji.

PEAK RESOURCES NI CHAGUO NAMBA MOJA KULINGANISHA NA WENZAKE- IMEJIANDAA KUWA MZALISHAJI WA GHARAMA NAFUU WA NDPR

Zoezi lifuatalo la ulinganifu lilikuwa limefanywa pamoja na Adamas na kanzidata zake. Mwanzoni tulianza na miradi 58 michanga ya Rare Earth duniani na idadi ikapunguzwa mpaka kufikia miradi 29 hiii ni kitokana na upatikanaji wa taarifa bora zaidi ili kuweza kuendesha ulinganifu wa kina, husishi zaidi na wa uweledi

Njia ifuatayo ilikuwa imetumika. Kiashiria cheupe kinaonyesha KPI maalum ambapo ndio kiwango cha karibu zaidi cha Mshindani wa Peak Resources. Mshindani ni mradi wa RE nyepesi, ambayo ina kiwango cha chini na cha wastani cha mionzi katika udongo wake.

Kiashiria zimwi kinaonesha miradi yote ambayo haichukuliwi kama mshindani wa moja kwa moja hii ni kutoana na kutokidhi vigezo kama:

  • Mradi wenye hadhi ya Tathmini ya Awali ya Kiuchumi) ambao una gharama changa, data na taarifa ambazo hazilinganishiki na ubora wa upembuzi yakinifu wa awali na upembuzi yakinifu elekezi wa mradi
  • Miradi ya RE nzito ambayo kwa kawaida hailinganishwi na miradi ya  RE nyepesi
  • Miradi yenye mionzi ya hali ya juu katika udongo wake
  • Miradi inayokusudia kuuza malighafi, badhaa za kati/mchanganyiko na haina mpango wa  kuchakata zaidi au kuzalisha bidhaa ya mwisho

Legend

Peak Resources
Closest Competitor
Non direct competitor

OPEX INTENSITY
(USD/KG NdPr Oxide)

32.24 USD/kg NdPr Is Peak’s breakeven point for positive cash flow (OCBRITDA). Considering a NdPr price of  Domestic China US$71.55/kg (26.09.2017) and Peaks target volume of 2.810tpa NdPr. Peak would generate only from NdPr sales alone USD 110.4m positive cash.

CAPEX INTENSITY
(USD/KG NdPr Oxide over LoM)

US$ 5.00 per produced kg NdPr over life of mine is CAPEX intensity of Peak! Ngualla has the lowest capex intensity per unit output of NdPr of all comparable projects.

CAPEX (US million)

365 million total CAPEX for Peak . This is the lowest Capex among its peers for a fully integrated rare earth producer.

LIFE OF MINE (LoM) IN YEARS

26 Years LOM based on an Ore Reserve of 18.5Mt grading 4.80% REO, containing 887,000t REO, of which 92% is the highest Proved JORC category (8% being Probable). This combination makes Ngualla the best NdPr investment proposition and deposit worldwide.

Data provided by: Adamas Intelligence

Filtering Through to the #1 Project

58 RARE EARTH PROJECTS GLOBALLY

FILTER 1:

Does the company have an ore reserves?

The first filter asks the question:

“Does the project have a bankable Ore Reserve?”

(Ore Reserve = Portion of Mineral Resource that has been deemed legally, technically, and economically feasible to extract)

If not, they fall out of the bucket.

FILTER 2:

Does the project have a commercially proven mineral?

The second filter asks:

“Are the project’s REEs hosted by a mineral that has been commercially produced and processed in the past (i.e. bastnaesite, monazite, or xenotime)”?

If not, they fall out of the bucket.

FILTER 3:

Does the project process their RE to a standard tradeable product?

The third filter asks:

“Does the project aim to separate and purify REE products to market-desired specifications in-house, or are they reliant on a third party to make their products useable?”

The latter option bears significant technical, economic, and market risks

If not, they fall out of the bucket.

FILTER 4:

Is the project CapEX below 400 million USD?

The fourth filter asks:

“Can the project be developed for less than US $500 million?” Projects with higher capital requirements are off-putting to investors and often require longer periods to ‘breakeven’ leading to higher risks for financiers and equity investors alike.

If not, they fall out of the bucket.

#1

Peak meets all of these criteria and will be a fully vertically integrated producer of oxides and carbonates.

Data provided by: Adamas Intelligence