MAPENDEKEZO YA UWEKEZAJI

KIENDESHI UCHUMI

Peak Resources Limited (Peak) imejipanga vyema kuwa kuwa mshindani  na kudumu katika uzalisha wa muda mrefu. Mradi wa Ngualla unakidhi vigeazo vyote vya kuwa mradi utakaodumu kwa miaka 26

Peak Resources inakusudia kuwa mmoja wa wazalishaji wa gharama nafuu katika tasnia na mnamo mwezi Aprili, mwaka 2017 imewasilisha, Upembuzi Yakinifu wa gharama za mradi.

Sifa za kimuonekano wa ubora wa orebody ya Ngualla, pamoja na faida za kipekee za Tees Valley, mahali ambapo  usafishaji utafanyika, zinafanya  Peak kuwa mzalishaji anayetumia gharama ndogo kabisa  za uendeshaji na za kimtaji ukilinganisha na mwendelezaji mwingine yeyote wa miradi ya Rare Earth duniani.

KUJUA ZAIDI

The Company

7.5 MINUTES TO GET THE FULL STORY

Where top class rare earth expertise and experience meet with a world class deposit and a perfect alignment with the market.

Who we are<

The Market

4.5 MINUTES TO GET THE FULL STORY

Where top class rare earth expertise and experience meet with a world class deposit and a perfect alignment with the market.

Our Market

PEAK IMEJINDAA KUWA MZALISHAJI WA NDPR ANAYETUMIA GHARAMA NDOGO

32.24 KUMBUKA HII NI BEI YA NDPR

HIZI NI GHARAMA ZETU ZA JUU KABISA*

USD 47.66        Bei ya NdPr, 11.07.2019 Asian Metal domestic China 327.5 RMB

USD 15.42        ni faida ambayo Peak itapata kwa kila kilo ya NdPr kwa bei ya sasa

USD 43.33        Millioni, ni pesa zitakazopatikana baada ya kutoa gharama kwa makadirio ya mauzo ya NdPr tani 2810 kwa mwaka.

*OCBRITDA = gharama za uendeshaji kabla ya mirahaba, riba na kodi , uchakavu wa mitambo na uchakavu wa mali zisogusika (Amortisation)

KUJUA ZAIDI

MALI

Ngualla, moja kati miradi mikubwa ya Madini Adimu aina ya neodymium (Nd) na praseodymium (Pr)  duniani ambayo haijaendelezwa.

KUJUA ZAIDI

TIMU

KUJIAMINI KWA TIMU KUPITIA UZOEFU

Timu ya uongozi ya Peak inao uzoefu wa kina wa kiundesheji na wa kibiashara katika mtando wa tasnia.