SOKO – The Market
UFAHAMU WA SOKO & HABARI
Madini makuu ya Peak resources yaani Neodymium (Nd) na pPraseodymium (Pr) ni viungo vya msingi kwa ajili ya uzalishaji wa sumaku ya kudumu (Sumaku za NdFeB ), ambayo hutumiwa katika utengenzaji wa mota za umeme zenye ufanisi wa hali ya juu na jenereta kuwezesha teknolojia ya kaboni ya chini, kama vile nishati ya upepo, E-mwendo na nyinginezo nyingi. Mahitaji ya NdPr yanatarajiwa kukua haraka kama moja ya viwezeshi vya msingi kwa ajili sura ya mpya ya maendeleo ya teknolojia ijayo.
Kapu la uzalishaji la Peak Resources linazingatia thamani ya juu sana na ukuaji wa soko. NdPr inachangia asilimia 80 ya mapato ya Peak na inawakilisha lengo kuu la mkakati wa maendeleo ya mauzo na biashara .Nguala ikiwa ni rasilimali yake ya kipekee ya madini katika Tanzania, Peak Resources imejipanga kikamilfu kuwa mzalishaji endelevu na wa muda mrefu ili kukidhi ongezeko la mahitaji ya kimataifa.
MAGARI
NDPR INAHITAJIKA KATIKA UZALISHAJI WA TAKRIBANI MAGARI YOTE YA UMEME
Zaidi ya 90% ya magari ya umeme yanatumia injini za sumaku iliyotengezwa kwa Neodymium, ambayo kila mmoja inahitaji karibu kilo 1 ya NdPr Oksaidi safi. ...
View More Articles 查看更多文章 View More Articles 他の記事を見るNISHATI YA UPEPO
NDPR INAZALISHA NISHATI SAFI
Kiwango cha ukuaji wa mwaka / CAGR kwa uwezo mpya zilizosakinishwa ilikuwa asilimia 24 kati ya 2000-2015. Megawatt 1 ya Pangaboi Linaloelekeza Upepo lina karibu kilo 200 za Nd/Pr Oksidi. ...
View More Articles 查看更多文章 View More Articles 他の記事を見るMATUMIZI MENGINE
UFANIS NA TIJA KWA JAMII
"Njia halisi ya tone la mvua linapoenda bondeni ni haitabiriki, lakini maelekezo ya jumla hayaepukiki," anasema Mwanataaluma wa digitali, Kevin Kelly — na teknolojia ni vivyo hivyo, inaendeshwa na ruwaza ambazo ni hazitarajiwi lakini zisoepukika. ...
View More Articles 查看更多文章 View More Articles 他の記事を見るChina
CHINA KUSHUGHULIKIA MASUALA YAKE YA SEKTA YA RARE EART
Historia ina tabia ya kurudia yenyewe. Kila jamii hunapitia hatua tofauti katika maendeleo yake na ni wakati wa China kushughulikia masuala yake ya mazingira na sekta ya Rare Earth. ...
View More Articles 查看更多文章 View More Articles 他の記事を見る
"Notice of the Ministry of Industry and Information Technology of the Ministry of Natural Resources on Issuing the 2019 Total Control Index of Rare Earth Mining and Smelting Separation and the Total Control Index of Tungsten Mining"
Relevant provincial (district) industry and information authorities, natural resources authorities, ...
Sheria
KUTOA NISHATI NAFUU NA YA KUAMINIKA
50% ya ukuaji wa mahitaji ya baadaye zinatiwa nguvu na sera zilizopo za serikali ikiwa ni pamoja na COP21 – Mkutano mkuu wa Paris, nishati 2020 (Ulaya) na Kigali 2016 ...
View More Articles 查看更多文章 View More Articles 他の記事を見るUTAFITI
“Mabadiliko ni sheria ya maisha na wale ambao huangalia tu nyuma au sasa ni dhahiri kwamba watakosa siku zijazo" John F. Kennedy. ...
View More Articles 查看更多文章 View More Articles 他の記事を見る