MATUMIZI MENGINE – Other Applications

UFANIS NA TIJA KWA JAMII

“Njia halisi ya tone la mvua linapoenda bondeni ni haitabiriki, lakini maelekezo ya jumla hayaepukiki,” anasema Mwanataaluma wa digitali, Kevin Kelly — na teknolojia ni vivyo hivyo, inaendeshwa na ruwaza ambazo ni hazitarajiwi lakini zisoepukika.

Katika miaka 20 ijayo, Kelly anasema, utashi wetu kwa kufanya mambo kwa akili zaidi na zaidi na itakuwa na madhara makubwa kwenye karibu kila kitu tunachofanya. Mapinduzi ya pili ya viwanda yatachanganya nguvu bandia na ufahamu bandia ambavyo hutiririka katika gridi – wingu – kama umeme ufanyavyo sasa. Mkondo mkuu wa maendeleo haya itakuwa teknlojia ya mashine / maroboti ili kuongeza ufanisi na tija katika jamii yetu. Peak Resources inakubaliana na maono ya Kevin Kelly na tunaamini kwamba NdPr na sumaku ya kudumu inafanya jukumu muhimu katika matumizi yanayohusika katika kipindi hiki cha mpito.

16/02/2017
news-source-logo

"EHANG 184 – The first passenger drone worldwide aiming to take off in Dubai"

Dubai is planning to launch an air taxi service in 2017. It will use self-flying drones built by Chi

CONTINUE
01/06/2016
news-source-logo

"How AI can bring on a second Industrial Revolution"

"The actual path of a raindrop as it goes down the valley is unpredictable, but the general directio

CONTINUE
返回市场
Kurudi Sakoni
Back to The Market
マーケットに戻る