PEAK RESOURCES - MUHTASARI

Peak Resources ambapo utaalamu na uzoefu wa hali ya juu duniani wa Rare Earth wakutana na amana ya rasilimali ya Rare Earth yenye kiwango bora na muunganiko mahsusi wa soko.

Peak na washirika wake wanaendeleza mradi Ngualla nchini Tanzania kwa gharama nafuu, radi wa rare earth wa kizazi kijacho ambao unazingatia  sana na thamani ya juu, kupanua soko la chuma sumaku zitumiakazo katika teknolojia ya hali ya juu. Kampuni imefuma mchakato wake wa mtiririko wa usindikaji  kwa kuzingatia uzalishaji wa neodymium na praseodymium, ambazo ni malighafi wezeshi muhimu, moyo amabao huipa nguvu teknolojia ya kaboni ya chini kama vile ya umeme na vyombo inavytemebea vinavyotmia umeme, nishati safi, na teknolojia ya kutengeneza Roboti. Na njia mbalimbali za maendeleo zikisaidiwa na faida ya rasilimali kubwa ya ubora na mchakato uliokwishajaribiwa, kampuni imejipanga kwa ajili ya ukuaji kupitia kupanuka kwa mahitaji ya metali ya sumaku katika sekta ya teknolojia ya kijani.

Mkakati wa Peak  kwa ajili ya ukuaji ni kuendeleza Ngualla  kwa haraka na kuifanya kuwa mzalishaji wa muda mrefu wa neodymium (Nd) na praseodymium (Pr) ambazo ni mchanganyiko  wa Oksidi kupitia robo yake ya chini ya gharama za kimtaji na kiuendeshaji .

Sasa kwa kiasi kikubwa na kwa kitaalamu, Mradi umeondolewa vihatarishi kwa kuwa na Imani kubwa  juu ya msingi wa rasilimali ya madini iliyopo, majaribiao yaliyoonyesha nafuu ya gharama za uchakataji na uimara wa uchumi wa mradi ulioonyeshwa katika  upembuzi yakinifu (“BFS”) uliochapishwa hivi karibuni.

Kwa taarifa zaidi tafadhali rejea andiko la BFS hapo chini.

MAFANIKIO MPAKA KUFIKIA SASA

WE SAY WHAT WE DO.
WE DO WHAT WE SAY.

2012
 • Kukamilika kwa makisio ya awali ya rasilimali.
 • Maendeleo ya ‘Utihibisho wa dhana’ mtiririko wa usindikaji wa kimetolojia
 • Kujifunza ukubwa wa Mradi
 • Ununuzi wa mradi wa Ngualla kwa 100%  kutoka Zari Exploration Ltd
 • Kukamilika kwa kazi ya majaribio ya uchuchaji wa tindikali
2013
 • Kukamilika kwa ya majaribo ya kutenganisha
 • Kukamilisha kwa mafanikio mtambo mdogo wa majaribio
 • Mapitio ya ukubwa wa mradi na tathimini ya kiuchumi kwa lengo la kupunguza gharama za uendeshaji
 • Mapitio ya makadirio ya rasilimali ya madini yaonyesha ubora wa daraja la juu
2014
 • Kukamilika kwa Upembi yakinifu wa awali (PFS)
 • Uthibitsho wa mchakato wa usindikaji
 • Mafanikio ya uchakataji wa madini
 • Mafanikio ya juu kabisa ya mchakato
 • Kupatikana kwa fedha kutoka kwa washirka wa muda mrefu: Appian na IFC, kwa ajili ya Upembuzi yakinifu
2015
 • Kuchaguliwa kwa AMEC FW kama kampuni kiongoza  kwa kazi ya uhandisi
 • Mtambo mdogo wa majaribio ya kuchataka ili kuongezea thamani madini
 • Kupigwa hatua katika Tathmini ya athari ya mazingira
 • Programu ya uchimbaji kwa ajili ya upembuzi yakinifu
 • Uwekezaji wa dola milioni 23.3 kutoka  Appian na IFC
  • Uchunguzi juu ya mafanikio ya juu kabisa
  • Ulimbikizaji wa Cerium
  • Maboresho katika mchakato wa uchenjuaji
2016
 • Matokeo ya mtambo wa majaribio yakamilika
 • Makadirio mapya ya rasilimali ya madini
 • Maboresho juu ya faida za kiuchumi za mradi
 • Timu ya uendeshaji na masoko yaajiriwa
 • Kuanza kwa majadiliano ya kifedha
 • Maendeleo katika mjadala wa uanzishwaji wa mradi
 • Kuendelea kwa kazi ya uhandisi wa mradi
 • Kuendelea kwa mchakato wa upatikanaji wa kibali cha mazingira
2017
 • Kupatikana kwa cheti cha mazingira kwa Ngualla
 • Taarifa Zaidi juu ya rasilimali iliyopo
 • Kukamilika kwa upembuzi yakinifu wa mradi
KINACHOFUATA NI NINI?

Kuwasilisha maombi ya leseni ya uchimbaji

Kuendelea na majadiliano na

 1. Wawekezaji waanzilishi watarajiwa
 2. Wakopeshaji
 3. Washirika wa kimkakati
 4. Mashirika ya mikopo ya nje
 5. Taasisi za biashara
 6. Wanunuzi wa NdPr

Kwa lengo la ku hatujihakikishia hatua inayofuata ya upatikanaji wa fedha ili kuelekea upande wa mbele wa uhandisi na usanifu

RASILIMALI ZETU NA ALAMA DUNIANI

INAFANYA KAZI KATIKA MABARA MATATU

Australia

MAKAO MAKUU

Peak Resources imeorodheshwa katika soko la hisa la Australia (ASX: PEK) na ipo jijini Perth, Magharibi mwa Australia.

Find out More 了解更多信息 KUJUA ZAIDI

Tanzania

MALI – RASILIMALI YA RARE EARTH NGUALLA

Ngualla ni moja ya a miradi yenye RE nyingi ya aina ya neyodimium (Nd) na Praisodimium (Pr) ya daraja la juu kabisa duniani ambayo haijandelezwa mpaka sasa.

Find out More 了解更多信息 KUJUA ZAIDI

Uingereza

USAFISHAJI WA RARE EARTH

Bonde la Tees lina sifa za kipekee zinazofanya eneo hili likidhi sifa za kukubalika na kwamba liko tayari kwa kuwa lina miundombinu iliyo na ubora wa hali ya juu kwa ajili ya kuweka kiwanda cha kuchakata zaidi RE.

Find out More 了解更多信息 KUJUA ZAIDI