Darren Townsend

Darren ni Mhandisi wa Madini mwenye uzoefu wa  zaidi ya miaka 20 katika majukumu ya usimamizi mwandamizi na uzoefu wa biashara wa zaidi ya miaka 10  kuendesha makampuni yaliyoorodheshwa katika  ASX & TXS . Amefanya kazi katika maeneo kadhaa na ana uzoefu maalum katika metali, na madini ya vito