Mapendekezo ya uwekezaji

The Investment Proposition

10 MINUTES TO GET THE FULL STORY

Where top class rare earth expertise and experience meet with a world class deposit and a perfect alignment with the market.

The Market

The Market

The Asset

The Asset

UTENDAJI KAZI WA PEAK KATIKA VIPENGELE VYOTE

Ubora wa hali ya juu wa Mradi wa RE Ngualla unaonekana wazi unapolinganisha na miradi mingine inayofanana nayo kwa msingi KPI.I. Michoro ifuatayo hapo chini inaonyesha KPI 4 inayowakilisha KPI ambazo tunaamini zinahitajika kwa ajili ya matumizi kama hayo. Peak inathibitisha nafasi yake ya ubora miongoni mwa wenzake kwa kufikia nafasi ya juu kwa jumla. Nafasi hii ya kipekee pia inaakisiwa katika matokeo ya BFS ambayo yalichapishwa mnamo Aprili 20, 2017 na maboresho ya taarifa za mradi ambayo ilichapishwa Oktoba 12, 2017 yanaonekana katika mtokeo yafuatayo:

Kwa bei ya sasa ya NdPr katika masoko ya China ambayo ni 284 RMB/US$ 40.14 (hii ni bei ya tarehe 16/6/2020) Peak inaweza kupata Dola za marekani milioni US$ 22.19 kutokana na makisio ya kuchimba tani 2810 kwa mwaka.

Peak Resources inaongoza kwa kuendesha mradi wa NdPr Oxide ambao una gharama ndogo zaidi za uendeshaji.

PEAK RESOURCES NI CHAGUO NAMBA MOJA KULINGANISHA NA WENZAKE- IMEJIANDAA KUWA MZALISHAJI WA GHARAMA NAFUU WA NDPR

Zoezi lifuatalo la ulinganifu lilikuwa limefanywa pamoja na Adamas na kanzidata zake. Mwanzoni tulianza na miradi 58 michanga ya Rare Earth duniani na idadi ikapunguzwa mpaka kufikia miradi 29 hiii ni kitokana na upatikanaji wa taarifa bora zaidi ili kuweza kuendesha ulinganifu wa kina, husishi zaidi na wa uweledi

Njia ifuatayo ilikuwa imetumika. Kiashiria cheupe kinaonyesha KPI maalum ambapo ndio kiwango cha karibu zaidi cha Mshindani wa Peak Resources. Mshindani ni mradi wa RE nyepesi, ambayo ina kiwango cha chini na cha wastani cha mionzi katika udongo wake.

Kiashiria zimwi kinaonesha miradi yote ambayo haichukuliwi kama mshindani wa moja kwa moja hii ni kutoana na kutokidhi vigezo kama:

Legend

Peak Resources
Washindani wa karibu
Washindani wasio wa moja kwa moja

MATUMIZI YA KIUNDESHAJI
(Dola za kimarekani 1 kwa kilo moja ya NdPr Oxide)

Dola za kimarekani 32.24 kwa kilo moja ya NdPr ndiyo breakeven pointi kwa mtiririko chanya wa fedha  (gharama za uendeshaji kabla ya kutoa riba,kodi na gawio). Peak inakusudia kuchimba tani 2810 kwa mwaka za NdPr. Peaka itapata dola za kimarekani milioni 110.4 kutokana na mauzo ya NdPr pekee.

MATUMIZI YA KIMTAJI (Dola za marekani 1
kwa kilo moja ya NdPr kwa umri wote wote wa mgodi)

Gharama za kiuendeshaji ni dola za marekani 5.00 wa kila kilo moja ya NdPr itakayozalishwa kwa umri wa mgodi. Ngwala ina gharama ndogo kabisa za uendeshaji ukilinganisha na miradi mingine yote inayolingana nayo.

KIMTAJI
(dola za kimarekani milioni )

Jumla ya gharama za uendeshaji ni dola zam marekani milioni 365 kwa Peak. Hii ni gharama ndogo kabisa ukilinganisha na miradi mingine inayolingana nayo kwa mzalishaji jumuishi wa rare earth.

UMRI WA MGODI KATIKA MIAKA

Umri wa mgodi ni miaka 26 kwa mujibu wa rasislimali iliyopo ambayo ni tani milioni 18.5 yenye daraja la viwango vya kufikia 4.80% REO, ikiwa ni tani 887,000 REO, kati ya hizo 92% ni viwango vya juu kabisa vya ubora uliothibitishwa katika kipengele cha JORC (8% ikiwa ni isiyo na hakika). Muunganik0o wa sifa hizi zinaufanya mradi wa Ngalla kuwa pendekezo la uwekezaji  na uwepo wa rasilimali bora  kabisa duniani.

Data Provided: Adamas Intelligence

Mchujo wa mradi

MIRADI YA RARE EARTH DUNIANI KOTE

KICHUJIO 1

Je Kampuni inayo akiba ya rasilimali madini?

Kichujio cha kwanza kinauliza:

“Je mradi una akiba ya  rasilimali ya uhakika?”

(Akiba ya rasilimali= Sehemu ya Rasilimali ya madini ambayo imethibitishwa kuwa inawezekana kuchimbwa kwa mujibu wa vigezo vyote yaani kisheria, kiufundi, na kiuchumi).

Kama haikidhi vigezo hivi inachujwa.

KICHUJIO 2

Je Kampuni inayo madini yaliyothibitishwa kwa biashara?

Kichujio cha pili kinauliza:

“Je Mradi uko katika eneo ambalo lina madini ambayo yamekuwa yakizalishwa kibiashara na kuwahi kuchakatwa katika muda uliopita (yaani  bastnasite, monazite, au xenotime)?”

Kama jibu ni hapana, inachujwa.

KICHUJIO 3

Je Mradi unachakata Rare Earth yake mpaka kufikia viwango vya bidhaa inayoweza kuuzika?

Kichujio cha tatu kinauliza:

“Je Mradi unakusudia kutenganisha na kusafisha kabisa bidhaa za REE na kuuza sokoni kwa kukidhi vigezo vya ndani au au inategemea  watu wa nje ili bidhaa zao ziweze kutumika?”

Hiari ya pili inabeba hatari muhimu ya kiufundi, kiuchumi na kisoko.

Kamahaikidhi vigezo inachujwa.

KICHUJIO 4

Je gharama za kimtaji ni chini ya dola milioni 500?

Kichujio cha nne kinauliza:

“Je mradi  unaweza kuendelezwa kwa chini ya dola za marekani milioni 500?” Mradi wenye hitaji kubwa la kimtaji huwakatisha tamaa wawekezaji na kwa kawaida huhitaji muda mrefu kufikia breakeven point, jambo ambalo hupelekea kuongezeka kwa hatari ya hasara kwa wawekezaji na watoa mitaji.

Mradi usiokidhi kigezo hiki huchujwa.

#1

Peak inakiidhi vigezo vyote hivi na itakuwa mzalishaji jumuishi wa Oxide na Carbonates.

Data Provided: Adamas Intelligence