MAKAO MAKUU

Peak Resources imeorodheshwa katika soko la hisa la Australia (ASX: PEK) na ipo jijini Perth, Magharibi mwa Australia.

Timu ya Peak Resources Australia inajumuisha wataalamu 11 wenye jumla ya miaka Zaidi ya 200 kwa pamoja ya usoefu na utaalamu wa uchimbaji na uchakataji wa madini, vilevile miaka 60 ya uzoefu wa uendeshaji katika Afrika. Timu ya Peak inathamini njia kujiweka tayari ambayo imeiwezesha kampuni kufuatilia maendeleo ya mradi wa Ngualla kwa kasi kubwa ukiiilinganisha na washinda wake.

Peak iligundua madini ya rare huko Ngualla mnamo mwaka 2010 na imeendelea kuharakisha maendeleo ya mradi kwa kushirikiana na wawekezaji wa kisasa Appian Capital Advisory (Appian) na shirika la fedha la kimataifa lijulikanalo kama (IFC), ambalo ni mwanachamaw mashirika a benki ya dunia.

 

Picture: 190 St Georges Terrace, Mezzanine Floor, Perth, WA 6000

More Locations

更多地点

More Locations

Uingereza

USAFISHAJI WA RARE EARTH

Bonde la Tees lina sifa za kipekee zinazofanya eneo hili likidhi sifa za kukubalika na kwamba liko tayari kwa kuwa…

Find out More 更多信息 Find out More

Tanzania

MALI – RASILIMALI YA RARE EARTH NGUALLA

Ngualla ni moja ya a miradi yenye RE nyingi ya aina ya neyodimium (Nd) na Praisodimium (Pr) ya daraja la…

Find out More 更多信息 Find out More