MAGARI – Automotive

NDPR INAHITAJIKA KATIKA UZALISHAJI WA TAKRIBANI MAGARI YOTE YA UMEME

Zaidi ya 90% ya magari ya umeme yanatumia injini za sumaku iliyotengezwa kwa Neodymium, ambayo kila mmoja inahitaji karibu kilo 1 ya NdPr Oksaidi safi.

Ikionggozwa na watu wenye maono kama vile Elon Musk wa Telsa Inc, Tekonolojia ya Vyombo mwendo vya umeme iko njiani kutawala teknolojia. magari ya kampuni ya Musk Telsa yalisababisha wimbi kubwa la muelekeo wa uwekezaji na kupelekea makampuni ya uzalishaji wa magari kuegukia uzalishaji wa magari ya umeme . Muelekeo unaonyesha kwamba ifikapo 2020 kutakuwa na magari mapya ya umeme zaidi ya 100 kwenye soko, na ifikapo mwaka 2025, zaidi ya aina 250 magari ya umeme gari yatapatikana duniani kote. Kwa sasa, zaidi ya dola bilioni 20 za kimarekani zimekuwa zikiwekezwa na makampuni kama LG Chem, Panasonic, Daimler, VW, Sanyo, Nissan, Tesla, Boston Power na Foxcom katika uwezo mpya kwa betri za lithi na viwanda vya uhifadhi duniani kote. Mara baada ya magari ya umeme kuwa rahisi zaidi kununua kuliko ya injini ya mwako, mahitaji yatapanda kwa kasi sana. Kwa mara ya kwanza, tutaona umuhimu wa matumizi ya Rare Earth yakienda sambamba athari ya soko la Rare Earth na jinsi tunavyotambua mabadiliko leo.

15/01/2019
news-source-logo

"Beijing, pushing its electric vehicle market, is making it harder for start-ups to enter as it fights overcapacity"

Forecast number of vehicles produced by 2020 is 20 million, 10 times the government’s target Sales

CONTINUE
19/01/2019
news-source-logo

"China Is Building Too Many Electric Cars"

China has 500 EV start-ups. The country can produce 20 million EVs a year. The Chinese government i

CONTINUE
10/01/2019
news-source-logo

""

A Reuters analysis of 29 global automakers found that they are investing at least $300 bill

CONTINUE
16/01/2019
news-source-logo

"Everybody Wants to Be the Next Elon Musk (at Least in China)"

 Tesla’s China-backed rivals have their own California dreams  EV startups poaching Tesla tal

CONTINUE
01/01/2019
news-source-logo

"California transitioning to all-electric public bus fleet by 2040"

  The California Air Resources Board (CARB) has approved a first-of-its-kind regulation in t

CONTINUE
28/12/2019
news-source-logo

"Xiamen Tungsten starts building permanent magnet motor industrial park"

On December 25, the construction of permanent magnet motor industrial park invested by Xiamen Tungs

CONTINUE
04/12/2018
news-source-logo

"Audi announces €14 billion investment with focus on electric vehicles"

The whole Volkswagen group is massively investing in electric vehicles as it is trying to move away

CONTINUE
15/11/2018
news-source-logo

"Volkswagen to make Zwickau vehicle plant Europe’s top-performing electric car factory"

  First complete transformation of a major car factory from internal combustion engines to

CONTINUE
Kurudi Sakoni