MAKAO MAKUU

Peak Resources imeorodheshwa katika soko la hisa la Australia (ASX: PEK) na ipo jijini Perth, Magharibi mwa Australia.

Ofisi iliyosajaliwa ya kampuni ipo mwendo wa dakika 15 tu kutoka katikati ya mji na karibu kabisa na eneo maarufu la kihistoria lijulikanalo kama Kings Park.

Timu ya Peak Resources Australia inajumuisha wataalamu 11 wenye jumla ya miaka Zaidi ya 200 kwa pamoja ya usoefu na utaalamu wa uchimbaji na uchakataji wa madini, vilevile miaka 60 ya uzoefu wa uendeshaji katika Afrika. Timu ya Peak inathamini njia kujiweka tayari ambayo imeiwezesha kampuni kufuatilia maendeleo ya mradi wa Ngualla kwa kasi kubwa ukiiilinganisha na washinda wake.

Peak iligundua madini ya rare huko Ngualla mnamo mwaka 2010 na imeendelea kuharakisha maendeleo ya mradi kwa kushirikiana na wawekezaji wa kisasa Appian Capital Advisory (Appian) na shirika la fedha la kimataifa lijulikanalo kama (IFC), ambalo ni mwanachamaw mashirika a benki ya dunia.

Picture: Peak Resources office Perth 5 Orde Street

More Locations

UK

The Rare Earth Refinery

Tees Valley an exceptional versatility, adaptability and top class “plug and play” location

Find out More

Tanzania

The Asset – The Ngualla Rare Earth Deposit

Ngualla is one of the world’s largest and highest grade undeveloped neodymium (Nd) & praseodymium (Pr) rare earth projects.

Find out More